Nashukuru baraka yote kwa kuni saidia kwa matibabu hili kuimarisha afyia yangu na nyingine baraka imenisaidia sana kwa kunipa chakula kwa sababu sikuwa na uwezo wa kujiweza wakati mgumu wa COVID 19 na pia wamenisadia kuanzinsha biashara hili niweze kujisaidia nayo kimaisha na pia wakati ambazo sina hela nimekuwa nikitibiwa bure nashukuru sana kwa usaidizi wenu.